Wednesday, November 11, 2009

GITHONGO AENEZA USHOGA PWANI.

Nilishangaa sana wiki jana kugundua kuwa Bwana John Githongo ni jamaa ambaye anapendwa na wazungu kwelikweli.nilikuwa sijawahi kuamini kwamba ilikuwa ukweli tangu neno lilipoenea kwamba yeye ni shoga.Lililonishtua zaidi ni vile bwana githongo mwenyewe alikubali kuwa yeye haoni shida yoyote kwa mtu kuwa shoga.alijaribu kutoa maelezo mengi kuhakikisha kwamba kila mtu amekubaliana naye kwa matendo haya.Bwana Githongo alitetea ushoga kwa hoja kali kali akidai kwamba hiyo ni haki kama haki zingine zozote.Watu wengi walipigwa na butwaa wakati hata yeye mwenyewe alikiri kuwa shoga na kuelezea umati kwamba anapanga kufanya ndoa hivi karibuni akiongeza kuwa mpenzi wake ni bwana mwingine wa kizungu ambaye ana hela si haba.
Sikujua kwamba hiyo ndiyo iliyokuwa ajenda tuliyoitiwa na kundi moja linalojiita ZINDUKO TRUST ambalo kiongozi wake ni bwana gitongo.Githongo alizidi kuambia waliohudhuria kuwa ushoga wake ni wa kuzaliwa na alirithi kutoka kwa babake ambaye alikuwa mfanyikazi wa wabeberu wakati wa ukoloni.Alisistiza kwamba ni muhimu mashoga kama yeye na wengine wawe na uhuru kama watu wengine na pia wachaguliwe kuongoza nchi hii.Hayo yalinisikitisha sana kwa sababu kulikuwa na fununu hapo awali kwamba Githongo amepewa hela nyingi na waingereza ili aeneze elimu ya ushoga nchini.Inasemekana kwamba yeye hutuma taarifa kwa wafadhili wake kila baada ya wiki mbili ya kufanya mikutano kama hiyo ambayo nia yake ni kupotosha vijana kwa kutumia hela za waliotukoloni.Wazazi wengi wameskitishwa sana na tabia za watu kama hawa.Kinacholeta kiwewe zaidi ni kuwa huyu bwana yuasema ataka kuwa kiongozi wa nchi hii.Wafadhili wake wanasema watamsaidia tu kama atahakikisha kwamba kuna mashoga wengi watakaoruhusiwa kusafiri ulaya na kufanya arusi kama ile ya chege.Mkutano huo ulifanyika Malindi katika hoteli moja ya bwana aitwaye Sam Rateng .
Kile kinachonikasirisha ni kuona vijana wetu wakimsikiza mtu ambaye ni mtumishi na mtumwa wa mataifa ya magharibi ambao wamejitolea kwa uwezo wote kuhakikisha kwamba maadili ya kiafrika inadidimia.Hawajali majanga kama ya njaa ama kueneza demokrasia vile wao hudai lakini wamejitolea kuhakikisha kwamba watu kama Githongo wanapewa hela si haba ili kueneza kasumba ya mkoloni.

Naomba uwaelezee wengine habari hizi wasije wakapotoshwa.

mimi wako,
Ali Ibrahim Mansur,Kutoka malindi.

No comments:

Post a Comment