Wednesday, November 11, 2009
GITHONGO AENEZA USHOGA PWANI.
Sikujua kwamba hiyo ndiyo iliyokuwa ajenda tuliyoitiwa na kundi moja linalojiita ZINDUKO TRUST ambalo kiongozi wake ni bwana gitongo.Githongo alizidi kuambia waliohudhuria kuwa ushoga wake ni wa kuzaliwa na alirithi kutoka kwa babake ambaye alikuwa mfanyikazi wa wabeberu wakati wa ukoloni.Alisistiza kwamba ni muhimu mashoga kama yeye na wengine wawe na uhuru kama watu wengine na pia wachaguliwe kuongoza nchi hii.Hayo yalinisikitisha sana kwa sababu kulikuwa na fununu hapo awali kwamba Githongo amepewa hela nyingi na waingereza ili aeneze elimu ya ushoga nchini.Inasemekana kwamba yeye hutuma taarifa kwa wafadhili wake kila baada ya wiki mbili ya kufanya mikutano kama hiyo ambayo nia yake ni kupotosha vijana kwa kutumia hela za waliotukoloni.Wazazi wengi wameskitishwa sana na tabia za watu kama hawa.Kinacholeta kiwewe zaidi ni kuwa huyu bwana yuasema ataka kuwa kiongozi wa nchi hii.Wafadhili wake wanasema watamsaidia tu kama atahakikisha kwamba kuna mashoga wengi watakaoruhusiwa kusafiri ulaya na kufanya arusi kama ile ya chege.Mkutano huo ulifanyika Malindi katika hoteli moja ya bwana aitwaye Sam Rateng .
Kile kinachonikasirisha ni kuona vijana wetu wakimsikiza mtu ambaye ni mtumishi na mtumwa wa mataifa ya magharibi ambao wamejitolea kwa uwezo wote kuhakikisha kwamba maadili ya kiafrika inadidimia.Hawajali majanga kama ya njaa ama kueneza demokrasia vile wao hudai lakini wamejitolea kuhakikisha kwamba watu kama Githongo wanapewa hela si haba ili kueneza kasumba ya mkoloni.
Naomba uwaelezee wengine habari hizi wasije wakapotoshwa.
mimi wako,
Ali Ibrahim Mansur,Kutoka malindi.

Wednesday, November 4, 2009
LAWYERS WORST PEOPLE TO HEAD THE KENYA ANTI CORRUPTION COMMISSION
In Kenya,the part of the country's history covered both in the political and economic spectrum,the law and the professionals in its practice have used arguments as trained to advance lies and defend the wrongdoers while knowing that its immoral.
Kenyan law has made many lawyers who now represent the worst that happens in this country. look at the following scenarios:Julie Ward murder;the law exonerated the murderers whom the police had worked hard to investigate and get close to truth. Chlomondeley case is another example,the assassination of Hon.David Kimutai Too is another case in point. because OF greed someone came to court to defend that policeman who murdered Hon .Too. These are just a few examples that expose the greed of lawyer. Some of them have swindled money belonging to clients .this is not a profession of noble men. The problem Kenyans are facing now come because of the interests of lawyers who are ready to work for money through making false arguments. Sincerity is an alien word in this profession. Therefore insinuation that they are most qualified to run an anti corruption commission is a a nightmare which Kenyans are taking too long to discover. It didn't work with Ringera and it cant work under anyone in the legal profession. Those unfortunate advertisements should be revoked so that responsible Kenyans of goodwill with good intentions can lead the anti corruption war. .
The right person to head the anti corruption commission should be one dedicated and with ability to unravel all corrupt practices but not one who is trained in financial greed and arguments .As we work towards improvement of service delivery and performance in our institutions,we must also change the professions that have failed before,because we need work to be done and not mere arguments. No lawyer is going to bring solutions anywhere-.
Moses Jackson Onyancha
mjonyancha@yahoo.com
Tuesday, November 3, 2009
LAWYERS ARE TRAINED TO ARGUE, AND JUSTIFY INJUSTCES-THEY CANT FIGHT CORRUPTION.
I do have enough reasons to believe that if we are determined to have a clean country; lawyers should be the last ones to consider in public appointments especially in matters to do with fighting corruption. In fact there should be a note on every appointment stating clearly that ‘’if you are a lawyer, you need not to apply for this job’’ The continued a advertisements that lawyers are the only ones who should head the anti-corruption commission(KACC) war should be rejected by Kenyans.
But even more essentially, are we missing the bigger picture? By burning up energies on who should or should not be head of KACC, whether or not KACC should be disbanded, whether Wako or Gicheru should be the next target, etc, aren't we really missing the focus? To what extent do these cosmetic actions lead to real change in
I actually think that one of the tragedies of our reform movement in
Our first Minister for Justice and Constitutional Affairs was Tom Mboya. He was not a lawyer, but no one has ever suggested that he was any less effective in his job. I think we are in danger of confusing the input with the output. I agree that law is an important input into the process of governance, but the truth is that there is much more to governance than law.
Watching the recent debates in Parliament about Ringera, convinced me beyond doubt that just as we insist soldiers should remain in the barracks; advocates should remain in the courtroom. There is an analogy between the advocate in politics with the professional boxer in a street fight. If you watch our lawyers in Parliament, it is evident that they do not distinguish between arguing there and arguing in court.
The legal profession engenders individuals solely trained to argue in support or against something whether wrong or right all depending on the side of the bread that is buttered. the lawyers are taking advantage of this country and its high time Kenyans realized that some jobs are meant for people who have the will and dedication to other than those who claim to have professional authority to argue and justify wrong things. such people can not be entrusted to fight corruption. its the kind of recycling we should avoid because at KACC the three officials who were forced to resign after irregular reappointment were all lawyers by profession. Since the only power they had was the academic training in arguments, they had not been able to do anything significant in the fight against corruption for five years. That is why we must be determined to join hands and fight this conspiracy by people in the legal profession who imagine that any public appointment is meant for them. Examples are many; do you need a degree in law to head the elect oral commission? Do you have to have a degree in law to lead the boundaries commission? Do you have to have a degree in law to know that stealing public resources is bad? The examples of lawyers in power has always impacted negatively historically even during the days of Jesus Christ .Jesus openly rebuked these fellows who in the bible are referred to as teachers of the law. They always corrupted the law to suit their selfish whims. That is what is happening in
We need to change this mindset of recycling individuals in the name of searching for lawyers to fill any vacant position available. I reject the conspiracy.
mzalendowabidii.blogspot.com